MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA BARAKutakuwa na sherehe ya kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa Tanzania bara, kwa wana jumuiya ya WatanzaniaBelgium. Sherehe itafanyika siku ya jumamosi tarehe 10/12/2011 kuanzia saa 6.00 mchana kwenye ukumbi wa ubalozi wa Tanzania, Brussels. Tafadhali mwarifu na mwenzako. Tunaomba uthibitishe kuhudhuria kwako kwa ajili ya maandalizi. Unaweza kuthibitisha kufika kwako kwa kutumia facebook, http://www.facebook.com/events/249931145061336/#!/groups/246844262046233/ Facebook Group inaitwa watanzaniabelgium. Uongozi - Watanzania Belgium |
|
|
|